Hivi kuna haja ya kuendelea kuwasiliana na msichana uliyemtongoza akakukataa?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Wakuu habari zenu,

Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara.

Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
 
Ha ha ha unajua kitu inaitwa playing hard to get.
Mbaya sana hawa viumbe ni akina sitaki nataka. Hasa hasa hawa wanaojiita wasichana
 
Mpotezee mzee...kujikomba sio kuzuri
 
Wengine wanavyokataa sio kwamba wanamaanisha hivyo ukiacha kumpigia simu au salamu unakua unamkomoa yeye

Hivyo bora uendelee kuongea naye kuna uwezekano wa kubatilisha maamuzi
 
Wakuu habari zenu,

Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara.

Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
Nenda ufe!!! Huyo kimbia kabisaaa!! usiangalie nyuma. Amesha kusaidia
 
Kuna faida sana maana mwisho wa siku utamla tu me nishamla mmoja papuchi kwa staili hiyo
 
Wakuu habari zenu,

Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara.

Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
Mwindaji mzuri hatochoka hadi apate mnyama..
 
Wanawake wote wanalika tu mbona wengine hata mate mwanzo watakutemea kabisa ila mwisho wa siku utamla tu.
 
Back
Top Bottom