Nenda ufe!!! Huyo kimbia kabisaaa!! usiangalie nyuma. Amesha kusaidiaWakuu habari zenu,
Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara.
Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
Mwindaji mzuri hatochoka hadi apate mnyama..Wakuu habari zenu,