LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Nenda ukasome mkuu, itakusaidia sana mbeleni.Kwema wakuu
Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja
Unauliza swali la kijinga. Of course yes!!! Kila mtu anatakiwa afikie PhD ila uwezo wa kiakili na kuandika ndiyo shidaKwema wakuu
Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja
Yes achae kusoma, kusoma sio Dili, kusoma kunalemaza akili.Acha huo ujinga. Jifunze kutafuta pesa
Yah kama kaajiliwa serikalin sawa tuu. Maana nilichoona watunishi wengi ruhusu za kusoma huzitumiankama excuse ya kukimbia kazin na kwenye kufanya shughul zingineKama umeajirwa serikalini kasome
Elimu Haina mwisho,soma angalia u hai na uwezo wa kusoma unao,isije ikaja wakati utakaposema Sina FURAHA,katika hili.Kwema wakuu
Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja
Na ww una PhD?... Mbn haupo kama wao??Hivi mo Dewji au Bakhresa ana PhD??? Tuanzie hapo...
Kwa tz naona kwa kipindi cha karibuni haina naama kwani humo ni kupata chawa na kunguni wala kwa kamba na wasioweza saidia taifa zaidi ya kuliangamiza tu🫠Kwema wakuu
Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja