Kama 75% ya waliohitimu mwaka jana walipata div 0, 20% div 4 na waliobaki wakagawana 1-3 (div 1 ilikuwa chini ya 0.5%)... Hizi ni data za shule za kata exclusively... Je kuna haja wa mwanafunzi aliyepo kwenye shule hizo sasa kuendelea na masomo?
kwa mazingira yalivyo kiukweli hakuna haja.bora angekwenda veta.veta miaka 4 huwezi ukakosa ujuzi lkn sekondari wanapoteza muda km hawaamini wasubiri tu TIME WILL TELL.shule hz ni mkombozi sn kwa masikini hatukatai lakini secta ya elim inahtaji mageuzi makubwa mno na si km ilivyo ss km vile yatima.