Hivi kuna haja ya wananchi kupiga kura ya kupitisha katiba Mpya?

Hivi kuna haja ya wananchi kupiga kura ya kupitisha katiba Mpya?

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Habari zenu wananchi tanzania yetu,,,! nianze kwa kilio hiki......!

Tanzaniaaaaaa.....eeeehhhhh...nchi yangu eeeheeh!

Sina maana ya kuigiza bali nikutoa wasiwasi wangu juu ya mchakato unaoshika kasi baada ya takribani miaka 2 baada ya rais Kikwete kutangaza nia ya kuanzisha mchakato wa katiba mpya, nakumbuka vizuri kwa mara ya kwanza iliposomwa sheria ya marekebisho ya katiba, hapo hapo yaliibuka mengi purukushani iliyopelekea sheria ile kurudishwa ifanyiwe marekebisho upya, ila sasa mchakato huu mimi siuelewi ni nani hasa anatakiwa kuwa mhusika mkuu wa huu mchakato....

Licha ya sheria kumpa raisi mamlaka ya kuteua tume, na wajumbe wa bunge la katiba shida ilikuja pale wawakilishi wetu (wabunge) kujipatia tiket ya moja kwa moja kuingia kwenye bunge lingine.... sasa mimi swali langu linakuja hapa uko wapi umhimu wa sisi watanzania kupiga kura kama kweli wabunge(wawakilishi wa wananchi) tayari wamechangia mawazo yetu ama sivyo watueleze wao wanaenda kwenye bunge la kaitiba kwa naiaba ya nani? na kama watakuwa kwa naiaba ya wananchi uko wapi umuhimu wa sisi wananchi kupiga kura tena ya kupitisha katiba? mimi binafsi naona kama maigizo na miradi ya watu kupata pesa tu, lakini pia kuna janja ya watu wachama fulani wanaona mbinu uya kupitisha matakwa ya chama badala ya kuangalia nchi zaidi, kiukweli huu mchakato mimi siuungi mkono binafsi naomba wananchi tungeungana kukataa matakwa ya wachache kwa ajili ya sifa na umaarufu wao.......
 
Back
Top Bottom