Hivi kuna haja yoyote ya kuwa na ukaribu na ndugu wa mke?

Hivi kuna haja yoyote ya kuwa na ukaribu na ndugu wa mke?

Ukaribu sio tatizo ukisha owa ujuwe umekubali kuunganisha zaid ya matabaka 2 ivyo elewa ni lazima uwe na mawasiliano mazur ya pande zote Incase wakikuletea matatizo tuu
 
Kwa manufaa ya watoto na vizazi vyako kuna umuhimu ila sio lazima. Lolote likitokea mathalani kifo chako watoto wako wanaweza wakakimbilia ujombani na wakapata msaada.

Nimeona baadhi ya familia baba alipofariki walitengwa na upande wa baba ila upande wa mama uliwabeba wakatoka.
 
Sio lazima na kuna hatari zake,hasa ukaribu na mko jinsia tofauti...
 
Lijamaa lishajua hulifagilii bas kwenye shoo linampelekea moto dada kama ligiriki yaani sista analifagilia kishenzi.
Nilichokuja kugundua labda lkini huenda viwanaume vifupi ni hatari ka bwashe kangu nikafupi sana lkn ajabu sister haishi kukafagilia
 
Back
Top Bottom