Hivi kuna hata sehemu moja Jet Li amewahi kuvua shati katika muvi?

Hivi kuna hata sehemu moja Jet Li amewahi kuvua shati katika muvi?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Nauliza kwa wale wapenzi wa action movies je kuna sehemu mmewahi kumuona huyo martial artist amevua shati?

The same apply kwa Salman Khan nae sijui kama wenzangu mmewahi kumuona akimaliza muvi bila kuvua shati!!?
 
Unapata faida gani baada ya kupata jibu? Mimi ni mpenzi wa movie lakini najaribu kuangalia swali lako linakupa shingapi? Jitahidi usiwe sababu ya umasikini unaoendelea hapa Afrika, maana mawazo haya ni kuendelea kua masikini au kua na watu wasiofikiri vzr
 
Umefikiria mbali sana ndugu.Hata mi sijawahi muona.Huyu jamaa huwa yeye na mashati meupe ya mikono mirefu.
 
Unapata faida gani baada ya kupata jibu? Mimi ni mpenzi wa movie lakini najaribu kuangalia swali lako linakupa shingapi? Jitahidi usiwe sababu ya umasikini unaoendelea hapa Afrika, maana mawazo haya ni kuendelea kua masikini au kua nawa tu wasiofikiri vzr
Sijakuelewa
 
Unapata faida gani baada ya kupata jibu? Mimi ni mpenzi wa movie lakini najaribu kuangalia swali lako linakupa shingapi? Jitahidi usiwe sababu ya umasikini unaoendelea hapa Afrika, maana mawazo haya ni kuendelea kua masikini au kua na watu wasiofikiri vzr
Duh! Una ugomvi na mtoa mada? Siyo kwa mawe haya uliyo mpopoa nayo!!
 
Unapata faida gani baada ya kupata jibu? Mimi ni mpenzi wa movie lakini najaribu kuangalia swali lako linakupa shingapi? Jitahidi usiwe sababu ya umasikini unaoendelea hapa Afrika, maana mawazo haya ni kuendelea kua masikini au kua na watu wasiofikiri vzr

Huwa mnafuata nini kwenye majukwaa kama haya mkuu?

Jukwaa linajadili mastaa na vibweka na vitimbi vyao na umbea nk........ halafu wewe unataka tupost ujasiliamali humu

Nyambafu hebu tuondolee stress zako za maisha hapa

Watu tunaingia humu ku refresh mind kama unataka mada serious nenda jukwaa la biashara au siasa nk
 
Screenshot_20221205-141456.png
 
Unataka kuona nini kwenye mwili wa Jet li ambacho wewe huna?

Tafuta kitu Cha kufanya maishani acha kushoboka na miili ya wanaume wenzio.
 
Back
Top Bottom