Huwa mnafuata nini kwenye majukwaa kama haya mkuu?
Jukwaa linajadili mastaa na vibweka na vitimbi vyao na umbea nk........ halafu wewe unataka tupost ujasiliamali humu
Nyambafu hebu tuondolee stress zako za maisha hapa
Watu tunaingia humu ku refresh mind kama unataka mada serious nenda jukwaa la biashara au siasa nk