Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje ila nina uhakika ipo dawa ya kuziba ila sijui inapatikana wapKuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka..
Jee kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
Asante mkuu.. nitafuatiliaNamna ya kuzuia ufa isiendelee ni kutoboa kidogo sana kwenye end point ya ufa.
Kuna video moja niwahi kuona wachina wanaweka dawa fulani hivi kama super glue....ufa unapotea....hii teknolijia sijawahi kuiona kwa macho meneo ninyoishi...Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka..
Jee kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
Ok.. asante mkuu kwa taarifaKuna video moja niwahi kuona wachina wanaweka dawa fulani hivi kama super glue....ufa unapotea....hii teknolijia sijawahi kuiona kwa macho meneo ninyoishi...
Ila kuna wale wauza vioo vya magari, huwa wanatoboa kashimo kadogo pale ufa ulipoishia kisha wanajaza kitu fulani...hapo ufa hauendelei zaidi.....japo kuna Noah ilifanyiwa hivi, baada ya muda ufa ukaendelea..
The best aolution ni kuweka windshield mpya..
Unaweza kukadiria bei ya Windshield kwa babywoka za ToyotaThe best aolution ni kuweka windshield mpya..