Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
kipo ndio kwanini mnavuta bangiNaomba kujua kama kuna kipimo cha kitaalamu kinachoweza kuonyesha kuwa mtu fulani katika kipindi fulani cha maisha yake aliwahi kutumia bangi au aina nyingine ya madawa mengine ya kulevya.
Ok,nashukuru ila nitafutilia zaidi.kipo ndio kwanini mnavuta bangi
AmenWataalam wa afya ya akili tunaomba majibu labda na ufafanuzi wa hili , naomba kumaliza na dua hii , MUNGU IBARIKI JF .
kwanini unakula bangi?? pale ccp moshi walikuwa wanacheck ukiwa unajiunga chuoOk,nashukuru ila nitafutilia zaidi.
Mkuu sisi wengine hatuvuti na wala hatukuwahi kuvuta , bali huku kwetu Tandika mwembeyanga vijana wanaovuta wanadai inawapa STIMU YA KURANDUKA kitu kinachowapa ujasiri .kipo ndio kwanini mnavuta bangi
Ha! Ha! Ha! Bangi nibangue !kwanini unakula bangi?? pale ccp moshi walikuwa wanacheck ukiwa unajiunga chuo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji16] [emoji16] [emoji15] hahahaha wambie bangi siyo mchichaMkuu sisi wengine hatuvuti na wala hatukuwahi kuvuta , bali huku kwetu Tandika mwembeyanga vijana wanaovuta wanadai inawapa STIMU YA KURANDUKA kitu kinachowapa ujasiri .
Ha! Ha! Ha! Bangi nibangue !kwanini unakula bangi?? pale ccp moshi walikuwa wanacheck ukiwa unajiunga chuo
Asante sana mkuu.Kipo kinaitwa Drug Urine Test(DUT) kina pima Cannabis(bangi) Ila kwa mtu alietumia Mara ya mwisho wiki 4 mpaka 5 zilizopita, heroin na opiods nyingine, methadone, diazepam, cocaine, tetra cyclic antidepressants(TCA), methamphetamines
Kipo ni city scan, tulimpeleka mtu mzima pale muhimbili alipata strock, baada ya majibu Dr alisema huyu amewahi kuvuta sigara, na katika maisha yetu hatujawahi kumuona akivuta, tulipouliza wakubwa walikubali, kuwa mara ya mwisho kuvuta sigara ilikuwa mwaka 1964Naomba kujua kama kuna kipimo cha kitaalamu kinachoweza kuonyesha kuwa mtu fulani katika kipindi fulani cha maisha yake aliwahi kutumia bangi au aina nyingine ya madawa ya kulevya.
Drug Urine TestKipo kinaitwa Drug Urine Test(DUT) kina pima Cannabis(bangi) Ila kwa mtu alietumia Mara ya mwisho wiki 4 mpaka 5 zilizopita, heroin na opiods nyingine, methadone, diazepam, cocaine, tetra cyclic antidepressants(TCA), methamphetamines
So far this is the best answer kwasababu nilitaka kujua hasa wale waliotumia vilevi hivi miaka mingi iliyopita.Kipo ni city scan, tulimpeleka mtu mzima pale muhimbili alipata strock, baada ya majibu Dr alisema huyu amewahi kuvuta sigara, na katika maisha yetu hatujawahi kumuona akivuta, tulipouliza wakubwa walikubali, kuwa mara ya mwisho kuvuta sigara ilikuwa mwaka 1964
Vipi hali yake kwa sasa , ameweza kuchechemea kidogo ?Kipo ni city scan, tulimpeleka mtu mzima pale muhimbili alipata strock, baada ya majibu Dr alisema huyu amewahi kuvuta sigara, na katika maisha yetu hatujawahi kumuona akivuta, tulipouliza wakubwa walikubali, kuwa mara ya mwisho kuvuta sigara ilikuwa mwaka 1964