Hivi kuna kiwanda cha vifungashio kanda ya ziwa?

Hivi kuna kiwanda cha vifungashio kanda ya ziwa?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Kwa yeyote anayefahamu kuhusu hili naomba anipe jibu, nahitaji vifungashio mbalimbali kwa ajili ya bidhaa za chakula na nyinginezo.
 
Back
Top Bottom