The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Weka takwimu kuimarisha hoja yakoHivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?
Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu anatokea kwenye kanchi kadogo ka Ureno ndio maana anakua underated hasa ukizingatia media za Uingereza ndizo zinatamba Duniani ila hakika huyi jamaa angekua muingereza sasa angekua anaitwa majina makubwa sana.
Kwangu mimi na kwa facts Mourinho ndie kocha bora zaid8 kuwahi kutokea Ulaya.
hicho kipindi mourinyo alichukuaga UEFAumeeanza kushabikia mpira 2004 ee?
mleta mada ndio alianza kujua mpira mwaka huohicho kipindi mourinyo alichukuaga UEFA
Huyu ananunua mataji,pale city first eleven yote wapya kasoro sterling na fenandinho..angalia katumia kiasi gani cha pesa ukilinganisha na wenzakePep guardiola is the best one
Huyu ananunua mataji,pale city first eleven yote wapya kasoro sterling na fenandinho..angalia katumia kiasi gani cha pesa ukilinganisha na wenzake
Wa masikini kwani kakatazwa kusoma shule za feza bdala za kayumba ili afauluKwan wengne wamekatazwa?
wewe mgonjwa akili,ni sawa na kumwambia mtoto
Wa masikini kwani kakatazwa kusoma shule za feza bdala za kayumba ili afaulu
ndomana wamemtimua mourinho,kanunua pogba,lukaku,fred bdo akawa anataka kununua wakati ferguson hakuwa na matumizi hayo,matumizi hayo zinafanya timu zinazonunua hadhi man city na chelseaKwa hiyo manchester utd ni maskini? Huwez kuwa serious aseh