The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Hamjambo wakuu?
Nimekuwa nikipitia fb wall mbalimbali za watu kuona kama kuna kipya, kilichonishangaza ni hizi siku chache tangu kuanza kwa mfungo wa mwezi wa ramadhani baada ya kuona watu wakiweka picha zinazoonesha mavazi ya baibui na hijab mavazi yapendwayo na waumini wa kiislam, hapa nilishangaa kwani siku zingine tumezoea kuona visox tu. halafu unakuta wengne sio waumini wa dini ya islam! kwani kuna mwezi ambao ni ruksa kukaa uchi hadi mkaona mwenzi huu ndio wa kujisitiri?