Hahahaha asantee. Ni kweli nimepotea kidogo sijaweka post humu sababu nilikuwa busy na maandalizi ya kumpokea mgeni.Haahhaaahh Kasinde Bhana Mie napenda vituko vyako eti.
Now days sizioni posts zako
Yes, snake park Arusha huwa nawakamata sanaWe unaweza
Afu hii kuna watu wanaichukulia easy,Ujasiri ni kushika nyoka! [emoji15] [emoji15] Kuna dada kampika mmewe huko Morocco na watu wakanywa supu huyo tutamuitaje?
Aliwahi kukuuma?Kiumbe nakiogopa hiko nimejuta kufungua thread
Hajawahi kuniuma ila nakiogopa sanaaa usinirudishe tena we mzee wa ureno kwenye huu uziAliwahi kukuuma?
Hajawahi kuniuma ila nakiogopa sanaaa usinirudishe tena we mzee wa ureno kwenye huu uzi
ππ Unashika tu Nyoka asie na macho hukoMahaba mdogo wangu, mwisho wa mwaka huu. Nimekamatika kwenye engo thita, Dadii ni motoo hehehehehe
ππ Unashika tu Nyoka asie na macho huko
Hahahah! umeua kabisa mtu wangu wa nguvuAna jicho moja hehehehee.
Mwehu muuaji ndo anafaa kufirwa huyo aliyemuua na kumpika mme wake, Kuua tu kumemfanya awe mauaji, ila kumpika kabisa ni zaidi ya ukichaa.Sijakuelewa japo nimeona ulichoandika.