Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwamfano,
Nani anaweza kumuamini Dr. Slaa kwasasa au kushawishika na aina ya siasa zake, maoni na mtazamo wake uloshikiliwa na diasporas, Lakini pia maisha ya kisaliti kwasababu tu ya tamaa za kimwili, vyeo na mali?
Hivi kuna kijana yoyote Tanzania anaweza kujitokeza, akajipiga kifua mbele ya hadhara kwamba role model na mentor wake kisiasa na kimaisha ni Mzee Wilbroad Peter Slaa? kuna la kujifunza kutoka kwa Dr. Slaa zaidi ya tamaa, uchu wa vyeo na usaliti?
Ukweli usemwe tu ndugu wadau, hivi kuna mjumbe hata moja wa mkutano mkuu wa chadema Taifa anaweza kushawishiwa na Dr. Wilbroad Peter Slaa hata kwa fedha akakubali kweli?
Naona wengi wanampuuza tu siku hizi, kwasababu haijulikani anafanya siasa au harakati za kibinafsi kwa maslahi ya nani Na muda sio mrefu hata diasporas wanaomfadhili watamchoka na kumdump, kwasababu hana ushawishi kabisa field.
Mzee mzima kutwa kuchwa yupo spaces tu kama mzururaji asie na ajira vile, anajadliana mambo yale yale, na watu wale wale, huku vitu vikiwa ni vile vile. Najiuliza tu, hivi zaidi ya Karatu nyumbani kwao, Dr Slaa anafahamika kweli nje ya karatu?
una maoni gani 🐒
Mungu Ibarki Tanzania