Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwa Wakatoliki, mapadre na maaskofu ni watu muhimu mno kiimani. Pamoja na malezi mengine, watu hawa ndiyo ambao huwaongoza wakatoliki katika sala ya toba na kutoa tamko la msamaha wa dhambi.
Ifahamike ya kwamba hakuna mkatoliki makini anayeweza kupingana na mababa wake wa kiimani, hayupo. Hata kama umemwajiri na anakwambia "tuko pamoja" jua kuwa kipaumbele chake ni kufika mbinguni hivyo atakaye sikilizwa na kuheshimiwa ni mwenye password ya kumfikisha peponi.
Habari njema ni kuwa maelekezo yanayoendelea kutolewa kwa wiki 6 mfululizo si maoni, bali ni msimamo wa viongozi wenye password za mbinguni, mahali ambapo kila mkatoliki anatamani kufika na kula mema ya huko.
Asomaye na afahamu.