Hivi kuna msanii wa kike kwa sasa mwenye sauti tamu kuzidi ya haka ka kuitwa Yammy?

Hivi kuna msanii wa kike kwa sasa mwenye sauti tamu kuzidi ya haka ka kuitwa Yammy?

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.

1718037693172.png
 
Back
Top Bottom