Hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu kabisa anayedhani kuwa Taifa Stars hii ya Amunike itaifunga Uganda na Kutinga AFCON Finals?

Hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu kabisa anayedhani kuwa Taifa Stars hii ya Amunike itaifunga Uganda na Kutinga AFCON Finals?

Bado nina Jezi za Kutosha tu za Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) hivyo ambaye anataka anitafute haraka kwa PM ili nimletee hapo hapo alipo tena bure kabisa ili Jumapili wote tuzivae na tuishangilie Timu ya Taifa bora ya Uganda ( Uganda Cranes ) ikiifunga Taifa Stars ya Kocha ' mbovu ' na ' mbaguzi ' Emanuel Amunike kwa Mkapa ( zamani kwa Mchina ) au Uwanja wa Taifa.

Yaani akina Farouk Miya na Emanuel Okwi watuache? Thubutu!

Nawasilisha.
Acha ugoro mkuu, ugoro ndio unakufanya uposti shombo kama hizi, kubwa la mapopoma
 
Back
Top Bottom