Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Subira yavuta heri
Kuna mtu duniani anaweza kudanfanya mpaka mwisho?Kuna wakati hua tunaongea ili watu wafulahi
Habari!
Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani.
Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
Kwahiyo nibebe kirungu kuelekea ikulu?Kwahiyo uliamini kweli utapandishwa daraja kwa kuwa Rais kasema.!!! Huijui hii nchi wewe.
Daraja halikujii kama sahani ya mkate mezani. Daraja lapambaniwa ati
Bongo nyosoLeo Japhary Haniu kapanda cheo😎
Inaweza vuta bangi piaSubira yavuta heri