Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
Kumbe na Wewe ni mtumishi wa Umma??. Nashukuru kwa kulijua hilo.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Una stress weweVipi unataka kunipa dada yako?
Nipe tu ili August nifuatane naye crdb kuchukua mkopo halafu tupitie safari lodge tukale raha.
Kwa Mama Mchome yupo poa Sana huyu mama naskia kastaafu Ni DEO wa meru .Arumeru
Wasiojulikana kwny ubora wenuKumbe na Wewe ni mtumishi wa Umma??. Nashukuru kwa kulijua hilo.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hiyo muvi imebuma.Kuna movie inataka kuchezwa kupitia opras
Hiyo muvi imebuma.
Onana na mwajiri.Kwahiyo nibebe kirungu kuelekea ikulu?
Hahaaa opras yako lazima copy iwe coloured!!!??Kuna movie inataka kuchezwa kupitia opras
Walisemaje?Huku kwetu waliicheza Ijumaa iliyopita.
Walitujazisha ma hopeless ya miaka 4 mfululizo huku wakituambia kuwa ndio yatatumika kutupeleka kileleni.Walisemaje?
Hama NchiHii sasa sio subira yavuta heri . Mambo ya Sengerema sana
Sasa suala la mama yako kujiuza sisi linatuhusu nini kijana, acha afanye ayo mauzo mpate kulaHii nchi ngumu sana asee, afu unakuta mijitu fulani inajilipa tu miposho ya mamilioni huko BOT, bungeni n.k
Maza mwenyewe naona ni mtu wa mauzo tu.
Umeonyesha utoto sana[emoji45]Sasa suala la mama yako kujiuza sisi linatuhusu nini kijana, acha afanye ayo mauzo mpate kula