Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Kila mwajiriwa anamjua mwajiri wake, hata walimu bila mashaka wanamfahamu mwajiri wao. Nadhani wengi wako chini ya wakurugenzi wa halmashauri wanazofanyia kazi.
Sheria za kazi ziko wazi kabisa, kuwa masaa ya kazi ni 8 , na mtu akifanya ziada alipwe ziada.
Je, walimu wa zamu ambao huwa wa mwisho kuondoka shuleni, wengine mpaka usiku huwazungukia wanafunzi especially shule za bweni, walimu wanaofanya kazi zingine za ziada wamewahi kuandika dokezo la kuomba pesa ya muda wa ziada na kunyimwa?
Niwakumbushe tu walimu , kwamba overtime allowance ni haki ya kila mfanyakazi duniani bila kujali kitengo chake, ila lazima mtambue kuwa kila mwajiri malengo yake ni kusave pesa ili ikamsaidie kutatua tatizo jingine ndani ya ofisi yake. Hivyo basi kudai maslahi ni vita sehemu yoyote.
Hata huku kwenye mashirika ya umma tumepambana mpaka sasa kila mwajiri anayekuja anakuta tamaduni za kulipa nauli, lunch, overtime ni za kawaida na hana uwezo wa kuzuia hata kama hapendezwi na hiyo mifumo.