Hivi kuna mwana CHADEMA anayeitamani Tanganyika kama Othman Masoud wa ACT wazalendo anavyoitamani Zanzibar yenye Mamlaka kamili?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hadi sasa kumbukumbu zinaonesha ni Mchungaji Mtikila peke yake ndio aliipigania Tanganyika kutoka moyoni

Natamani sana Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud angekuwa ni Mtanganyika yule Mwamba hana Bei mgongoni

Na kiukweli watakaoamua Tanganyika irejee ama la ni Wazanzibar

Ahsanteni Sana 😂😂🔥
 
CCM ndiye mchawi wa Tanganyika na Zanzibar huru
 
Back
Top Bottom