Hivi kuna mwongozo wowote unaomlinda mlaji kwenye uuzwaji wa kuku? Kuzingatia uzito

Hivi kuna mwongozo wowote unaomlinda mlaji kwenye uuzwaji wa kuku? Kuzingatia uzito

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Hello JF?

Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali.

Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa.

Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua tu kuwauza.

Kuna muda nahisi kupunjika kabisa...😅
 
Mwongozo ni maamuzi yako kwa kutambua thamani ya unacho kinunua.

Kama una mashaka kwanini ununue? Hujalazimishwa !

Tumia serikali na halimashauri ya kichwa chako vizuri mkuu.
 
Duuuh, harafu wanang'ang'ania 1000 kipande 🤔🤔🤔
 
Duuuh, harafu wanang'ang'ania 1000 kipande 🤔🤔🤔
Ei haibadiliki mkuu kipaja ni 15000, kidari ni 2000

Nusu ni 35000
Mzima 7000

Kuna muda unaon kabisa ni kama wanawaishwa. Halafu hii imekuja kama upepo kila unapogusa unakuta ni vinjiwa
 
Ei haibadiliki mkuu kipaja ni 15000, kidari ni 2000

Nusu ni 35000
Mzima 7000

Kuna muda unaon kabisa ni kama wanawaishwa. Halafu hii imekuja kama upepo kila unapogusa unakuta ni vinjiwa
Kijana tusilaumu sana ni fursa hii....🤔🤔
 
Back
Top Bottom