Hivi kuna Mzazi aliyekuwaga wamwisho darasani?

Hivi kuna Mzazi aliyekuwaga wamwisho darasani?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habari za jioni
Wazazi wengi wa zamani hujisifu sana mbele ya watoto wao kwamba walikuwaga na akili sana darasani na walikuwa wanaongoza. Sijawahi kuona au kusikia mzazi yeyote akimwambia mtoto kuwa yeye alikuwa kilaza darasani.

Swali: Kuna mtu hapa ambaye mzazi wake anasema alikuwa kilaza? kama hayupo Shule zilitumia utaratibu gani ambao ulifanya wote washike nafasi yakwanza? Kwanini utaratibu huo usitumike sasahivi ili wanafunzi wote wawe wakwanza kama wazee wetu wa zamani?

Kwahisani ya #BashiteLager (Haiuzwi kwa watoto chini ya miaka 18, wanapewa bure tu)
 
Sidhani kama kuna mzazi anayependa mtoto ama watoto wake wapitie katika njia isiyofaa ambayo yeye mzazi aliipitia.

Kama wapo wazazi wa aina hiyo, basi hapo kuna mjadala mkubwa sana.

Yote kwa yote, kila mzazi hujaribu kuficha madhaifu yake kadha wa kadha kwa mtoto ama watoto wake ili kuwajenga katika makuzi bora.

Hivyo ni mbinu tu mojawapo ya kimakuzi.
 
Write your reply...hapana aisee na wala sitakuja waambia baba yao anavuta mmea atanikiutumia hawatajua
 
Tieli,
Wale ambao Mwakinyo aliwasikiliza akaenda kuchezea vitasa baada ya kujiamini kupita kiasi??
 
Back
Top Bottom