Kama head inavyojieleza, hivi kuna uwezekano mdaiwa akaangalia deni analodaiwa HESLB pasipo kwenda ofisini kwao?
Na kama hakuna huo uwezekano kwanini wasiweke mifumo online watu tukawa tunafuatilia mwenendo wa madeni yetu?
SOME ADDITIONAL CONTENTS.....
JAMANI NIMEINGIA KWENYE ACC YANGU KAMA WADAU WALIVOELEKEZA NILICHOKIKUTA NI TOFAUT NA ALLOCATIONS ZANGU KUNA PESA IMEONGEZWA PESA YA SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS PER SEMESTER 80K. NIMEWEKEWA KWA MWAKA WA MWISHO SEMESTER ZOTE MBILI KWAHIYO JUMLA 160K HIYO SIKUWAHI KUPEWA, YANI SPECIAL FACULTY SIJAWAHI KUPEWA LAKINI KWENYE DENI NIMEANDIKIWA.
USHAURI NINI NIFANYE ILI NIKIEPUKE HIKI KIKOMBE YA HESLB
Ile namba inafaa kuandikwa kwa mfumo upi? Maana mfano naweka S0011-0161 naambiwa “enter valid index No.” huku hiyo ni index number iliyopo kwenye cheti husika
Ile namba inafaa kuandikwa kwa mfumo upi? Maana mfano naweka S0011-0161 naambiwa “enter valid index No.” huku hiyo ni index number iliyopo kwenye cheti husika