Hivi kuna nini kwenye honeymoon?

Hivi kuna nini kwenye honeymoon?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Hivi honeymoon inakuwaga tofauti na vacation za kawaida ambazo wapendanao wanaendaga? Au haina tofauti zote sawa?

1627369318546.png

Ni tofauti ndio! Honeymoon inakuja baada ya ndoa,sehemu faragha ya wanandoa "kufahamiana" vizuri zaidi..ila hiyo nyingine ni matembezi/Safari tu ya kawaida unayopanga na mpenzi wako..kwenda kuenjoy somewhere..But i stand to be corrected!
 
𝚔𝚞𝚏𝚊𝚑𝚊𝚖𝚒𝚊𝚗𝚊 𝚟𝚒𝚣𝚞𝚛𝚒 𝚣𝚊𝚒𝚍𝚒.

𝙺𝚘 𝚔𝚞𝚖𝚋𝚎 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚖𝚙𝚊𝚔𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚞𝚊 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚞𝚗𝚐𝚊 𝚙𝚒𝚗𝚐𝚞 𝚣𝚊 𝚖𝚊𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚊 𝚊𝚠𝚊𝚏𝚊𝚑𝚊𝚖𝚒𝚊𝚗𝚒 𝚟𝚒𝚣𝚞𝚛𝚒[emoji15] 𝚜𝚑𝚊𝚖𝚎 𝚘𝚗 𝚢𝚘𝚞!
 
Honeymoon =consummation

kiasilia tangu enzi na enzi ilikuwa ni kupima uwezo wa kuchakata papuchi..
mara baada ya honeymoon ilitakiwa wanandoa wanaita ndugu na viongozi wa dini kusoma risala ya uwezo wa mwenza..
 
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa😜 hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins😂

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?
 
Unafaa kua kungwi
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa[emoji12] hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins[emoji23]

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?
 
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa😜 hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins😂

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?

"hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi" mwisho wa kunukuu.
UNDERSTOOD.
 
Sasa mkuu financial services kwanini umekua kwenye mambo ya fwedha si ungekua tu mambo ya malavidavi eti mpaka kufuke moshi yan unasugua mpaka usikie mucosal lining inanukia mpira
 
Back
Top Bottom