Hivi kuna nini kwenye honeymoon?

Familia za kichovu hakunaga honey moon, ukute harusi umeandaa mwenyewe, asubuhi wazee wanataka kusafirishwa ndugu wa mke uwape mafuta warudi kwao, harusi imeisha kuna deni la mc sijui mpiga picha, aki hio ni kulala nje ya geto tu yaani.

Watoto wa kushua ndo wanakuaga na hio kitu
 
Hivi honeymoon inakuwaga tofauti na vacation za kawaida ambazo wapendanao wanaendaga? Au haina tofauti zote sawa?
Kitu cha kushangaza watu humu wanaseam eti kufahamiana mimi nasema kama wewe unategemea kumfahamu mwenzio siku hizo za honey moon basi utakua umepotea kwangu mimi ni kama mapumziko tuu amabayo watu waliofunga ndoa wanakuwa nayo ili wafanye ngono na ngono sio mpya pia mmeshafanya fanya ngono mara kibao nothing new
 
Siku hizi kuna pastmoon, firemoon kama zile za kuchoma nyumba za wapenzi wenu.
Hii moon sio ya asali sasa
 
Hahahaha...
Nmependa hiyo "Mikito"
 
Sasa mkuu financial services kwanini umekua kwenye mambo ya fwedha si ungekua tu mambo ya malavidavi eti mpaka kufuke moshi yan unasugua mpaka usikie mucosal lining inanukia mpira
😂😂😂 hii fani ya fedha nimeivamia tu! Najiona passion yangu ni malovee! Piga vitu hadi isikike harufu ya mishikaki yani nyama kwa nyama ziumane😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii fani ya fedha nimeivamia tu! Najiona passion yangu ni malovee! Piga vitu hadi isikike harufu ya mishikaki yani nyama kwa nyama ziumane[emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tulio single tunapata tabu Sana hizi kauli
 
Honeymoon ni ule uhuru unaotambuliwa wa kuunganisha vikojoleo hasa kama hamjawahi kukutana kimaumbile jambo ambalo ni ngumu kwa karne hizi

Vacation ni mtoko na kwenye mtoko sidhani kama kunakuwa na zile amshaamsha za kimahaba since that ni kama sehemu ya utalii fulani hivi imagine watu wako kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi
 
Somo nimelielewa [emoji3] eti mikito
 
 
Ndyooo bado hujaelezea tofaut ya style znazotumika kweny vacation na kweny honeymoon. Yaan inshort maliza kila kitu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…