wadau mm nataka kujua maana naona bajeti imesomwa ila cjajickia km kuna ongezeko au upunguzwaji wa kodi katika mishahara yetu km kuna mdau anajua bhasi anifahamishe
Haaaahaa subiri mwakani ndugu mwalimu watakuongezea kama 70 elfu ivi ili kukulainisha kwenye zoezi la uchaguzi uwe msaada wa kutosha kama kawaida uchakachuzi uwe mwepesi,mwaka huu kodi imepungua kwa 1% na tegemea kuongezwa 30 elfu kama kawaida.