Ulanzi ndio pombe safi kuliko zote za kienyeji inaweza kuja kuchafuliwa ikiwa imefika chini kama lakini huwa ni pombe ambayo ni safi kuanzia inakotengenezwa kule juu kwenye kugemwa. Ni tamu sana usipokuwa mwangalifu utakunywa mpaka ujisahau tatizo lake ni kaharufu kake tu hakajakaa vizuri