kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Kwenye nchi hii iliyojaa laana kuna raia wanajivunia kua Watanzania? Kwa nionavyo nchi hii wanaojivunia kua watanzania ni wale wanaokula keki ya taifa tu.
Binafsi sijivunii kua mtanzania na nikipata nafasi naukana huu uraia uliojaa laana. Tuambiane ukweli wakuu je unajivunia kua mtanzania?
Sababu ipi inakufanya ujivunie Utanzania?