kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Nitumie namba yako upate kulamba asali serikaliniKwenye nchi hii iliyojaa laana kuna raia wanajivunia kua Watanzania? Kwa nionavyo nchi hii wanaojivunia kua watanzania ni wale wanaokula keki ya taifa tu...
NAKAZIAwanaojivunia kua watanzania ni wale wanaokula keki ya taifa tu
Huna sababu jombaa ungekua nazo ungetajaMimi ni wa kwanza
Ukitaka sababu zipo nyingi tu
Wivu ni nini?Hatari sana. Mi naona unawivu tu
Ata walimu wapo serikalini jombaa lakin hakuna kitu wanachopata 😂Nitumie namba yako upate kulamba asali serikalini
Kukosa nafasi ya kula keki ya taifa unaona kama Dunia imekuacha.Wivu ni nini?
Bila kusahau kwamba JK na JPM wote walikuwa CCM.Mimi siipendi sisiemu na watu wake, ila ninajivunia kuzaliwa kwenye ardhi ya Mwl JK na Chuma JPM
Magufuli alikua chuma kweli uyo mwingine sina uhakikaMimi siipendi sisiemu na watu wake, ila ninajivunia kuzaliwa kwenye ardhi ya Mwl JK na Chuma JPM
Kidogo walitanguliza uTanzania kuliko usisiemu kwenye mambo mengi ya kiTaifa.Bila kusahau kwamba JK na JPM wote walikuwa CCM.
Ungekuwa unanifahamu ungejivunia pia kuzaliwa nchi moja na mimiMimi siipendi sisiemu na watu wake, ila ninajivunia kuzaliwa kwenye ardhi ya Mwl JK na Chuma JPM
Mwl ni habari nyingine, ni tunu ya Taifa.Magufuli alikua chuma kweli uyo mwingine sina uhakika
Nawashangaa wanaokataa utanzania wao.Unakuta mtu analalamika tafuta uraia mwingine kama utanzania haukufai.Mwl ni habari nyingine, ni tunu ya Taifa.
Hivyo kwa ajili ya Mwl JKN na Chuma cha pua JPM ndo vinanifanya ninajivunia kuwa mTanzania.