Hivi kuna rhumba kali kuizidi Maboko Pamba ya Fere Gola?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba?

View: https://youtu.be/mni9pRglFZE
 
Usiende mbali hiyo maboko haifikii hata Papa Lolo, labda kama unamaanisha rhumba za Fere Gola mwenyewe
 
Zipo,
Nikikuwekea list hapa utahama.
Koffi ana rhumba nyingi sana na ndo mwalimu wa Ferre.
Omba masikini best rhumba.
Jibe ile alipiga na Pappa Wemba.
Nakuja na zingine.
 
Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba?
Kila mja na sikio lake mkuu

Mimi sioni kama inazifikia Vita Imana na 100 Kilos
 
Zipo,
Nikikuwekea list hapa utahama.
Koffi ana rhumba nyingi sana na ndo mwalimu wa Ferre.
Omba masikini best rhumba.
Jibe ile alipiga na Pappa Wemba.
Nakuja na zingine.
Koffi Hana rhumba ya kumzidi Ferre Gola lakini pia Ferre sio mwanafunzi wa Koffi, alienda quarter latin akiwa tayari star na rhumba nyingi kama 100 kilosa na vita imana, mwalimu wa Ferre ni Werrason hapo itakuwa sawa mkuu.
 
Angalia Bataclan live wote ,Fally, Ferre ,Fille Nyafu wote wamo mule, Pharmacien na kama utabisha kasikilize tcha tcho 100% 1+2 ndio utajua koffi ni nani hiyo upande.
Achana na miziki alobakate lobakate anapiga siku hizi kuzuga tu.
Na ndio Ferre kakuzwa na Werrason.
 
Sikupingi mkuu
 
Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba?
Zipo nyingi Kaka..Isikilize Carte Rose Pia..Kuna mtu juzi nilikuwa nabishana nae namwambia Ferre Kwa Rumba ni mkali kuliko Fally akawa anabisha nikaachana nae 🤣
 
Fally hawezi kumkuta Ferre hata robo, ukiona mtu anamsifia Fally mbele ya Ferre huyo hajui rhumba ni nini, wajuzi kama wewe ndio mnajua uzuri wa rhumba na mfalme wa rhumba music ni Ferre
 
Back
Top Bottom