Pointi ofu koreksheni..... “Vita Imana” ndio wanaitaga wimbo wa taifa sio 100 kilosrhumba kali za feregola zipo nyingi kama 3 em doigt, 100 kilos (congo wanaita ni wimbo wa taifa).kuna court circuit kuna marathon etc
Kila mja na sikio lake mkuuYes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba?
Koffi Hana rhumba ya kumzidi Ferre Gola lakini pia Ferre sio mwanafunzi wa Koffi, alienda quarter latin akiwa tayari star na rhumba nyingi kama 100 kilosa na vita imana, mwalimu wa Ferre ni Werrason hapo itakuwa sawa mkuu.Zipo,
Nikikuwekea list hapa utahama.
Koffi ana rhumba nyingi sana na ndo mwalimu wa Ferre.
Omba masikini best rhumba.
Jibe ile alipiga na Pappa Wemba.
Nakuja na zingine.
Angalia Bataclan live wote ,Fally, Ferre ,Fille Nyafu wote wamo mule, Pharmacien na kama utabisha kasikilize tcha tcho 100% 1+2 ndio utajua koffi ni nani hiyo upande.Koffi Hana rhumba ya kumzidi Ferre Gola lakini pia Ferre sio mwanafunzi wa Koffi, alienda quarter latin akiwa tayari star na rhumba nyingi kama 100 kilosa na vita imana, mwalimu wa Ferre ni Werrason hapo itakuwa sawa mkuu.
Sikupingi mkuuAngalia Bataclan live wote ,Fally, Ferre ,Fille Nyafu wote wamo mule, Pharmacien na kama utabisha kasikilize tcha tcho 100% 1+2 ndio utajua koffi ni nani hiyo upande.
Achana na miziki alobakate lobakate anapiga siku hizi kuzuga tu.
Na ndio Ferre kakuzwa na Werrason.
Zipo nyingi Kaka..Isikilize Carte Rose Pia..Kuna mtu juzi nilikuwa nabishana nae namwambia Ferre Kwa Rumba ni mkali kuliko Fally akawa anabisha nikaachana nae 🤣Yes, kwa utamu na mpangilio wa rhythm na souti huku mdundo ukidunda kwa taratibu hadi mwili automatic unayumba kwa muitikio wa mapigo ya music, unaweza weka repeat asubuhi mpaka usiku usichoke kulisikiliza hili dude. Je, kuna rhumba kali kuliko hiki chuma katika ulimwengu wa rhumba?
Fally hawezi kumkuta Ferre hata robo, ukiona mtu anamsifia Fally mbele ya Ferre huyo hajui rhumba ni nini, wajuzi kama wewe ndio mnajua uzuri wa rhumba na mfalme wa rhumba music ni FerreZipo nyingi Kaka..Isikilize Carte Rose Pia..Kuna mtu juzi nilikuwa nabishana nae namwambia Ferre Kwa Rumba ni mkali kuliko Fally akawa anabisha nikaachana nae 🤣
Fally mjanja mjanja tuZipo nyingi Kaka..Isikilize Carte Rose Pia..Kuna mtu juzi nilikuwa nabishana nae namwambia Ferre Kwa Rumba ni mkali kuliko Fally akawa anabisha nikaachana nae 🤣
Zile sijui zilitengenezwa vipi, haziishagi ladha zileIla vita imana na 100kg zile ngoma unaweza pata hata mkopo 😂
Ni nuksi