Hivi kuna ruhusa ya...

Hivi kuna ruhusa ya...

mbongopopo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2008
Posts
1,611
Reaction score
760
Kuuza vitu madukani kwa dollar tanzania? Na wanaruhusiwa na nani? Sasa shilingi inakufa au?
 
Kama TRA wenyewe wana toza kodi kwa dollar inamaana serikali inalitambua vyema sana. May be wabunge wa Chadema watalivalia njuga hilo watafuta yote hayo. Yana mwisho, time will tell.
 
Back
Top Bottom