M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 760 Apr 2, 2011 #1 Kuuza vitu madukani kwa dollar tanzania? Na wanaruhusiwa na nani? Sasa shilingi inakufa au?
P Prime Dynamics JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 551 Reaction score 249 Apr 3, 2011 #2 Kama TRA wenyewe wana toza kodi kwa dollar inamaana serikali inalitambua vyema sana. May be wabunge wa Chadema watalivalia njuga hilo watafuta yote hayo. Yana mwisho, time will tell.
Kama TRA wenyewe wana toza kodi kwa dollar inamaana serikali inalitambua vyema sana. May be wabunge wa Chadema watalivalia njuga hilo watafuta yote hayo. Yana mwisho, time will tell.