mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Wadau kila ninapojiuliza ni kwa nini Public Primary School masomo yanafundishwa kwa kiswahili sipati jibu. Kama huyu mtoto akitoka tu hapo akiingia sekondari masomo yote yanaanzwa tena kufundishwa kwa KIINGEREZA mpaka Chuo kikuu, Kwa nini wasianze kufundishwa kiingereza kuanzia primary?
Wengine watasema ni ili kufahamu kiswahili. Sioni kama ni sababu kubwa kwa sababu kiswahili ni lugha yetu ya kwanza kila mahali atakapo kuwepo kiswahili kinaongelewa atakifahamu tu. Ila kiingereza maeneo machache ambayo atakutana na watu wakiongea na hawezi kufanya practice yoyote. Sehemu ambayo angeweza kufanya practice ni shuleni. Je, hii ipo hivi ili shule za English Medium ambazo najua kwa kiasi kikubwa vigogo ndo wamezishikilia waendelee kuwa na soko?
Kwa nini serikali isifanye uamuzi wa mfumo mmoja, kama ni kiswahili basi lugha ya ufundishaji iwe na kuanzia primary mpaka chuo kikuu? Au kama ni kiingereza basi iwe pia kuanzia primary mpaka chuo kikuu?