Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping?

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Mara nyingi nimekuwa nikiona kesi za ubakaji thidi ya wanaume, je endapo mwanamke amemuingilia mwanaume bila ithini yake, je sheria inamruhusu mwanaume kushtaki? Embu wataalam wa sheria mtusaidie!
 
Hakuna sheria kama hiyo kutokana na tafsiri ya neno lenyewe "kubaka" ambako kunahusisha kuingiza sehemu ya siri ya kiume kwenye sehemu ya kike.
Na kama unavyojua hata kama mwanamke atafanya mapenzi na wewe bila idhini yako (sidhani kama inawezekana) hakuna kiungo kitakachoingia kwako.
Ndio maana hata mwanaume akimuingilia mwanaume mwenzake bila idhini ya mwingiliwa, hatusemi kubaka kwa sababu hakujahusisha mwingiliano wa sehemu za kike na kiume.
Nimeeleza kwa kifupi ninavyoelewa na nilivyowahi kusikia.
Mtitu M.
 
Kubaka kunafanyika pale ambapo uke unaingiliwa bila idhini ya mwenyenao. Hakuna tafsiri nyingine zaidi ya hiyo.
 
Sheria ni ile ile mkuu sema vigezo, ushahidi mkubwa ni Dr. athibitishe kuwa ni kweli umebakwa, na ili uwe umebakwa kuna michubuko sehemu za siri na pia ukutwe na mbegu za kike. mwanamke anauwezo wa kupata ushahidi huo wote je mkuu wewe utaonesha nini? angalia usije ukajikuta umejipeleka mwenyewe polisi, maana ktk kubakwa mwanamme anaweza akajikuta kashiriki kusaidia kubakwa 100% hadi mbakaji ngoma ikawa nzito kwake akajikuta kachubuka sasa mpeleke polisi wewe, yeye akaonyeshe michubuko utajikuta unachezea miaka 30 bure bora hata unyamze iwe siri yako. wanaume wengi wanabakwa mkuu ila kushitaki inakuwa ngumu kidogo. Halafu angalia mwanamke sio wa kumpeleka polisi kirahisi rahisi kwa kesi kama hiyo, hakawii kukugeuzia kibao.
 
Kuna miaka fulani kuna mwanamke alifanya mapenzi kwa kumlazimisha kijana mmoja kule Moshi kama sijakosea ilikuwa maeneo ya TPC, mazingira ya tukio lile naona yanafanana sana na mada husika hapa, ila sijui ile kesi iliendeshwaje, nakumbuka ilitolewa sana kwenye vyombo vya habari na kupigiwa kelele nyingi na wanaharakati mbalimbali lakini sikumbuki ilimalizikia wapi baada ya yule mama kufikishwa kwenye vyombo vya sheria
 
Hakuna.
Ivi mwanaume utabakwaje?
Kwasababu dushe mpaka isimame ndo yaweza penya kwa papuchi sasa katika hali hiyo yakulazimishwa dushe haiwezi simama coz thre is no feelings kati yenu, so hakuna kitu kama icho na sheria hiyo sidhani kama ipo!!
 
Mwanamme anabakwaje? Naye anapata michubuko?
 
wewe ni jinsia gani kwani? Maana naona unatumia neno kuingilia halafu unauliza kuhusu mwanamke kumwingilia mwanaume. Una maana gani labda unaposema mwanamke kumwingilia mwanaume? Yaani hili litafanyika kwa namna gani?
 
Mwanamme anabakwaje? Naye anapata michubuko?

Lakini kubaka si lazima mtu atumie maguvu.

Hata kulala na mtu ambaye hajielewi vizuri - say aliye under the influence ya pombe au madawa au ambaye ana hitilafu za kiakili au mlemavu, kwenye baadhi ya nchi hiyo inahesabika kama kubaka kisheria (statutory rape)
 

Tanzania si ndo maana walimu wanawapa wanafunzi mimba na wanaishia 'kuelewana' na wazazi
hakuna sheria tele na zikiwepo ni kama watu hawajui kwamba zipo
 
sheria ni taaluma inayokua na iko hai ndo maana kila uchao kuna mabadiliko ya tafsiri ya sheria katika baadhi ya matendo kwa msingi kwamba kwa principle za sheria za kiingereza ili kubakwa kutimie lazima kuwe na ushahidi wa kuingiliwa bila ridhaa, kuingiliwa kamili yaani penetration pamoja ushahidi wa mbakwa kujitetea asibakwe.... lakini upande wa ridhaa unaongozwa na umri wa mbakwaji na matumizi ya nguvu au vitisho....katika rufaa ya kesi ya babu seya ambapo upande wa utetezi ulileta uthibitisho kuwa mzee hakua na uwezo wa kupenya tena uliothibitishwa na daktari ili kutumia hii principle ya common law bado mh jaji alikataa ushahidi huo akisema penetration suyo lazima hata dushe ikilalala juu ya papuche hiyo inatosha kuamount ubakaji.....kwa mantiki upo mwanga sasa kuwa hata mwanamke anaweza kushtakiwa kwa kubaka provided vigezo vingine vitathibitika
 

Haaa haaa haaa!!!! Inawezekana kweli???? Mwanaume anawezaje kubakwa?
 
wewe ni jinsia gani kwani? Maana naona unatumia neno kuingilia halafu unauliza kuhusu mwanamke kumwingilia mwanaume. Una maana gani labda unaposema mwanamke kumwingilia mwanaume? Yaani hili litafanyika kwa namna gani?

Shemale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…