Ayu serious kuoana kwa mjibu wa sheria ndo kukoje hapa Tz?? Km una mashaka na hoja uccte kuacha kuchangia co lzm kila thread uchangie. Soma sheria ya ndoa Na 5/1971 (cap 29 R.E 2002) kuna aina 2 tu za ndoa (monogamy & Polygamy) na pia kuna njia 3 tu za kufunga ndoa (traditional, civil & religion)mali hizo mmechuma wote kwa hiyo ni za kwenu wote. ila tu muwe mmeoana kwa mujibu wa sheria