Hivi kuna siri gani kwenye ugoro wazee?

Hivi kuna siri gani kwenye ugoro wazee?

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
719
Reaction score
2,408
Wadau za kutwaa!!!

Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu nikazibue kichwa hata na tingisha mbili tu.

Ndiyo lijendi mmoja akafungua kanailoni flani kabluu nikaona vitu flani vya unga vina rangi ya kahawa. Akasema mdogo wangu... Huu ni ugoro akanioa kidogo akakadiria kiasi flani akasema weka chini ya mdomo mate matatu ya Kwanza tema yanayoendelea meza, ukiona stimu umekolea tema. Nikaweka.

Stimu zilivyopanda balaa nikaenda kukamata demu mmoja hivi. Ebwana EEE... Nilimginga usiku kucha bao halitoki, Yani toka saa tatu usiku mpaka saa moja asubuhi.

SASA WADAU NAULIZA KUNA SIRI GANI KWENYE UGORO.
 
Hakuna siri yo yote kwenye ugoro. Ni mzuka wako tu na nyege ulizokuwa nazo; au pengine ni placebo effects tu ya Nicotine ndiyo iliukukurisha moyo wako mpaka ukajikuta unasukuma damu isivyo kawaida. Kwa vile ni mara yako ya kwanza hili halishangazi maana pengine ule mchecheto tu ulikuletea kiwango kikubwa cha Dopamine. Ukirudia tena kutumia huo ugoro wako utakuta hauna effect yo yote (ya maana).

Kwingine itambulike kwamba kutafuna tumbaku (ukiwemo huo ugoro wako), ni kisababishi kimojawapo kikuu cha kansa ya mdomo, koo, kinywa na hata kongosho (pancreas). Ndiyo maana wacheza baseball wa kule Marekani na kwingineko wanasisitizwa sana kuachana na tabia yao ya kutafuna tumbaku wakiwa mchezoni; na kwingineko.

Achana na hiyo tabia mara moja!

Fanya mazoezi. Punguza uzito. Kula vizuri. Kunywa maji ya kutosha na kama cardiovascular system yako haina shida, sioni sababu yo yote ya kijana mdogo under 50 kuanza kujitafutia kansa huko mbele ya safari kwa kufakamia maugoro!

Screenshot_20230411_190018_Chrome.jpg
 
Tena huo ugoro ni hatr sana ulitaka kunikatisha maisha huo yaaan siitaji hata kuusogelea hata kdgo.,yaan ilikuwa iv mi ninarafki yangu nae mtuamiaji mkubwa sana wa hii kitu so siku 1ja nilitaka kujua kuna faida gan kwenye iyo kitu anatumia akanijibu kwa ufupi kuwa nawe nunua wa kwako huwanze kuutumia utapta majibu ingawa majibu yake sikutaka kuyafanyia kazi kwa ck za karibun ila ck kadri zinavyongea naona kuna kundi kubwa la watu wanatumia na wanaonyesha wako silieus nalo so nami nikaona nilifanyie uchungz hir wapi wanatoa na kuna kitu gan wana pata.nikaja kujua kuwa wamasai ndio wauzaji wakubwa ivyoo niliwafuata na kuwaulizia machache juu ya hiyo bidhaa yao ila hata ivyoo nilipta maelezo machache tuu maana walikuwa wameingiwa na huoga juu ya maswali yangu kwao ivyo nilichukua kifurush kimoja kwao hir kuwaondoa ile off yao nikaelekea nyumbn kwangu ila kwenye majira saa 1iv nikaamua ngoja nitoke mhnje ya nyumbn nitafte sehem iliyotulia niujaribie mzgo ni kwerii nikafanya vile akir i inataka nikafungua kile kinailon nikachota mchache alaf nikauweka chin ya mdmo nikatulia kama sekunde 15 iv duh kilichonitokea apo kwanza ghafla nguvu zilikata alaf nikaisi kuushiwa pumz alaf moyo kama vile umesimama kwa sekunde kazaa yaaan kwa kifupi nilichungulia kabur baada ya hayo yote nimejikta niko osptr nimefkaje sikuelew ila kumbkmbu yangu ni ile har ya awali ila kilichoendelea apo sikuelewa hata kdgo so sijuwi mi nilikosea wap au hii kitaalam ikoje labda?
 
Pole sana mkuu.

Naona ulipata trauma sana.

Inaonekana hata kwenye uandishi wako.

Kidato cha pili mwanzoni mwa miaka ya 70 huko nilikuwa na rafiki yangu alikuwa anavuta sigara. Kwa vile ilikuwa hairuhusiwi kuvuta sigara tena shule ya misheni basi alikuwa anavuta kwa kuibia ibia. Kutokana na ugumu wa kuficha harufu ya sigara, naona wakati mwingine alianza kutumia ugoro ili kukidhi huo uraibu wake wa Nicotine.

Basi bana siku moja wakati wa prep akaniambia nimsindikize nyuma ya jengo akapige ugoro wake maana kulikuwa na ka giza giza hivi na miti mingi. Tumeenda vizuri jamaa katoa ugoro wake kapachika mdomoni. Sasa sijui alizidisha au ugoro wa siku ile ulikuwaje maana alianza kupepesuka na kabla sijamdaka huyo chini. Bahati mbaya sana kulikuwa na mawe na kichwa chake alijigonga kwenye jiwe nadhani maana alizima jumla akabakia tu kukoroma kwa mbali.

Ulikuwa msala hevi na alilazwa karibia wiki nzima...na tulipofunga shule msimu uliofuata hakurudi shuleni. Baadaye tulitangaziwa kuwa alishafariki. Sasa sijui kama ni huko kujigonga kichwani siku ile au pengine alifariki kwa ishu zingine tu.

Kuanzia hapo ugoro siupendi hata kuusikia kumbe hata wewe ulishakaribia kukuua...
 
Wadau za kutwaa!!!

Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu nikazibue kichwa hata na tingisha mbili tu.

Ndiyo lijendi mmoja akafungua kanailoni flani kabluu nikaona vitu flani vya unga vina rangi ya kahawa. Akasema mdogo wangu... Huu ni ugoro akanioa kidogo akakadiria kiasi flani akasema weka chini ya mdomo mate matatu ya Kwanza tema yanayoendelea meza, ukiona stimu umekolea tema. Nikaweka.

Stimu zilivyopanda balaa nikaenda kukamata demu mmoja hivi. Ebwana EEE... Nilimginga usiku kucha bao halitoki, Yani toka saa tatu usiku mpaka saa moja asubuhi.

SASA WADAU NAULIZA KUNA SIRI GANI KWENYE UGORO.
niliambiwa ni shisha ya kienyeji
 
Tena huo ugoro ni hatr sana ulitaka kunikatisha maisha huo yaaan siitaji hata kuusogelea hata kdgo.,yaan ilikuwa iv mi ninarafki yangu nae mtuamiaji mkubwa sana wa hii kitu so siku 1ja nilitaka kujua kuna faida gan kwenye iyo kitu anatumia akanijibu kwa ufupi kuwa nawe nunua wa kwako huwanze kuutumia utapta majibu ingawa majibu yake sikutaka kuyafanyia kazi kwa ck za karibun ila ck kadri zinavyongea naona kuna kundi kubwa la watu wanatumia na wanaonyesha wako silieus nalo so nami nikaona nilifanyie uchungz hir wapi wanatoa na kuna kitu gan wana pata.nikaja kujua kuwa wamasai ndio wauzaji wakubwa ivyoo niliwafuata na kuwaulizia machache juu ya hiyo bidhaa yao ila hata ivyoo nilipta maelezo machache tuu maana walikuwa wameingiwa na huoga juu ya maswali yangu kwao ivyo nilichukua kifurush kimoja kwao hir kuwaondoa ile off yao nikaelekea nyumbn kwangu ila kwenye majira saa 1iv nikaamua ngoja nitoke mhnje ya nyumbn nitafte sehem iliyotulia niujaribie mzgo ni kwerii nikafanya vile akir i inataka nikafungua kile kinailon nikachota mchache alaf nikauweka chin ya mdmo nikatulia kama sekunde 15 iv duh kilichonitokea apo kwanza ghafla nguvu zilikata alaf nikaisi kuushiwa pumz alaf moyo kama vile umesimama kwa sekunde kazaa yaaan kwa kifupi nilichungulia kabur baada ya hayo yote nimejikta niko osptr nimefkaje sikuelew ila kumbkmbu yangu ni ile har ya awali ila kilichoendelea apo sikuelewa hata kdgo so sijuwi mi nilikosea wap au hii kitaalam ikoje labda?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole sana.
 
Back
Top Bottom