Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
[emoji23]Ni kama National na Panasonic
Otherwise Hakuna Tofauti [emoji23]Kuna ka-uhuru huwa kapo,,hako ndo kanaweza kuwa tofauti.
Like that.Otherwise Hakuna Tofauti [emoji23]
Soma tena.Mwisho wa siku utauliza kuna tofauti gani kati ya mwalimu na mwanafunzi,maana wote nanaamka mapema kuwahi shuleni,wanaingia darasani,waaenda parade nk.
Kwanini hukumuuliza kwanza Shaggy (The Raggae danso Musician) hilo swali?Like that.
Askari anaenda nyumbani kut*mba ila mfungwa anaishia kupiga puliTofauti yao ni kwamba,askari anapokea mshahara
Mfungwa hapokei mshahara
Jamani hizi kauli zinaweka negative energy kwa hiyo Kada. Hebu tuwashukuru kwa kazi waifanyayo. Sisi wananchi hatuwataki wahalifu mtaani kwao ni jela huko.Sasa asipokuwepo wa kumlinda huko si watarudi tena uraiani kutusumbua.Afisa magereza ana hustle hivyo ili wewe uishi kwa amani mtaani.Askari magereza ni mfungwa aliechangamkaš¤£
Wote ni sawa tu....mmoja ni mfungwa wa sasa na mwingine ni mfungwa mtarajiwaHili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!!
Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru.
Shamba yupo askari na mfungwa wote wanapigwa jua na mvua
Kwenye kuvunja mawe wote wapo
Wanakesha wote
Mbu wote
Yani piiii
Umasikini ni mbaya sana.
Upinge kwa namna yoyote
Utakuja kunishukuru
Punguza wenge.Hili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!!
Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru.
Shamba yupo askari na mfungwa wote wanapigwa jua na mvua
Kwenye kuvunja mawe wote wapo
Wanakesha wote
Mbu wote
Yani piiii
Umasikini ni mbaya sana.
Upinge kwa namna yoyote
Utakuja kunishukuru
Kweli Kabisa mkuu.Jamani hizi kauli zinaweka negative energy kwa hiyo Kada. Hebu tuwashukuru kwa kazi waifanyayo. Sisi wananchi hatuwataki wahalifu mtaani kwao ni jela huko.Sasa asipokuwepo wa kumlinda huko si watarudi tena uraiani kutusumbua.Afisa magereza ana hustle hivyo ili wewe uishi kwa amani mtaani.