Hivi kuna tofauti gani kati ya kumjua na kumfahamu mtu?

Kumfahamu ni kuwa na taarifa za huyo mtu/kusikia habari zake/kumuelewa. Kumjua mtu, ni kumwelewa kwa undani. Ukiulizwa unafahamu Kiingereza?. Jibu likiwa ndiyo, maana yake unafahamu kuwa Kiiingereza ni moja ya lugha na wenyewe ni Waingereza

Ukiulizwa kama unajua Kiingereza, maana yake ni kuijua-lugha ya Kiingereza kwa kuizungumza/
Kuisoma na kuandika.
 
Nmekusoma fresh chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…