hivi kuna tofauti gani kati ya mafisadi na wezi?

hivi kuna tofauti gani kati ya mafisadi na wezi?

Olookule

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
20
Reaction score
3
kati ya mambo ambayo binafsi yananiuzi katika nchi hii ni haya ya kuyapa majina mazuri maovu.nitatoa mifano michache:
WEZI=MAFISADI
RUSHWA=TAKRIMA
HAWARA=NYUMBA NDOGO/bwana wangu/boyfriend
Kinachoniumiza sana ni pale mafisadi wanapofurahia sana kuitwa mafisadi mpaka wengine wanaenda kufanya sherehe kubwa mfano yule alienda kuchinja madume huko jimboni kwake.Ni wazi kuwa wangekuwa wanaitwa wezi wa mali ya umma hapo kungekuwa na tofauti
 
Back
Top Bottom