forex ni kubetHii forex ilisababsha tuonekane vilaza ila mwshon walikubal forex n namna nyngne ya kubet tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna wale wanafanya biashara ya kununua na kuuza hisa sijui ndiyo mambo ya stock exchange. Ananunua anakaa nazo kidogo anauza na kupata faida. Daily ndiyo biashara yake. anaangalia tu trend ya soko. Achana na wale wa kununua hisa kumiliki.Umejiandaa kwa matusi? Hivi hisa mtu si anakuwa sehemu ya umiliki wa kampuni?,kwa mfano mo dewij na simba anafanya betting;?
Kuhusu forex yaani marginal trading hiyo ni kamali tu
Haa unazungumzia wanaonunua hisa kwa lengo la speculation ambao hawaitaji gawio.Kuna wale wanafanya biashara ya kununua na kuuza hisa sijui ndiyo mambo ya stock exchange. Ananunua anakaa nazo kidogo anauza na kupata faida. Daily ndiyo biashara yake. anaangalia tu trend ya soko. Achana na wale wa kununua hisa kumiliki.
hahaha forex sio betting..nu trade inatakiwa uwe na uelewa na usome vizur uieleweHisa haifanani na hivyo vitu mkuu
ila betting na forex ni pwagu na pwaguzi
na huko ndio kubet sasa😂😂😂😂hahaha forex sio betting..nu trade inatakiwa uwe na uelewa na usome vizur uielewe
Wakati nipo high school 2017(form five) nilisoma "Stock Exchange" kwenye commerce japo sijawahi fanya practically ila sio kubetHaa unazungumzia wanaonunua hisa kwa lengo la speculation ambao hawaitaji gawio.
Hio pia nakubaliana na ww ni betting tu.
Biashara gani ina faida ya uhakika moja kwa moja??na huko ndio kubet sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kubet ni kufanya biashara ya pesa isiyo na uhakika wa kukupa faida moja kwa moja.
ila mkuu mambo mengine basi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanafurahisha sana
Nipe list ya vitabu vinavyofundisha jinsi ya kubet mpira ,mieleka au biko n.k na nitajie mamentor na wapi naweza kupata course na seminars.na huko ndio kubet sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kubet ni kufanya biashara ya pesa isiyo na uhakika wa kukupa faida moja kwa moja.
ila mkuu mambo mengine basi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanafurahisha sana
Forex inakupa faida moja kwa moja,na hasara pia ipo..as kwenye busness hasara ni kawaidana huko ndio kubet sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kubet ni kufanya biashara ya pesa isiyo na uhakika wa kukupa faida moja kwa moja.
ila mkuu mambo mengine basi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanafurahisha sana
Kwahiyo sasahivi uko first year chuo ganiWakati nipo high school 2017(form five) nilisoma "Stock Exchange" kwenye commerce japo sijawahi fanya practically ila sio kubet
Note: usiseme kitu ambacho huna uzoefu nacho.
Inshallah Juma tatu naenda kuriport UDSMKwahiyo sasahivi uko first year chuo gani
Mkuu tembelea sledi ya Wazee wenzangu wa kuweka mikeka, kule utapata kila kitu wale watu wapo vizuri sana kwenye hayo mambo ya KubetNipe list ya vitabu vinavyofundisha jinsi ya kubet mpira ,mieleka au biko n.k na nitajie mamentor na wapi naweza kupata course na seminars.
Hongera sanaInshallah Juma tatu naenda kuriport UDSM
Ahsante tunaenda kusoma ila na kukamua mabroker lazima, miezi m minne ya vitabu vingi,videos tutorials na demo practices sio michacheHongera sana
Aaahh kubet huko kumenishinda bora nifanye fx tu.Mkuu tembelea sledi ya Wazee wenzangu wa kuweka mikeka, kule utapata kila kitu wale watu wapo vizuri sana kwenye hayo mambo ya Kubet