Hivi kuna tofauti kati ya biashara ya Forex, kubet na ununuzi wa hisa?

Kama ni hivyo basi hata kulima tu ni kubet maana unapanda ukitegemea mvua ya Mungu mara inakuja nyingi, ndogo au hakuna kabisa na kazi yooote uliyofanya inakuwa bureee na hasara juu.
 
Kweli wabongo weng wanaendelea kua maskin kwa kukosa maarifa
 
Mbona hii nayo ni betting pia...ukikuta watu wengi wameleta mahindi kama wewe utayauza kwa 10000 hivyo hiyo?
 
Well mi naona betting is betting kama ilivyo na forex ni betting lakini yenyewe risk yake ndogo ukilinganisha na betting yenyewe.

Lakini inapokuja ishu ya hisa, inategemeana na wewe unavyoucheza mchezo, kama unanunua na kusubiri baada ya muda zipande ili uuze then unakuwa speculator, kwa sababu sehemu kubwa ya sababu zinazosababisha kupanda na kushuka kwa bei za hisa mara nyingi ziko nje ya uwezo wa market players na hakuna anaeweza kuzipredict (the market is full of suprises).

Ila kama unanunua na kuzihold kwa mda mrefu, say 10 years or more, basi unakuwa investor kwa sababu thamani ya hisa inatarajiwa kupanda (in a long run) plus unakuwa unaendelea kuenjoy devidends along the way.

Kuspecurate kunafaida kubwa zaidi ukiringanisha na kuinvest (watu huwa wawin big huko lakini wengine wanalose kila kitu pia). Kama kawaida "big return comes with big risks and vice versa".

Binafisi nadhani watu tunatakiwa kulitazama soko la hisa kama moja ya options of our way up to financial freedom na sio kama biashara yeneywe or au labda uwe na funds mbili, one to finance your future and the other for play.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…