Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Nimetoka Mbeya na Sauli juziπŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
Kuna mwamba kwenye thread nyingine kabisa nimeona anakwambia katoka marekani sijui nenda akakuoe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu umenunua kiwanja sinza lini?
 
Well said mkuu
 
Tuoneshe a/c aliyokutumia pesa otherwise shut f up ni chai
 
Wewe Una nini Ndugu!!.. Unadhani wote humu hatujawahi kuishi ulaya,Marekani na Gulf?!!..Hebu tuliza matako yako huko!!!..
Tuliza husda pimbi wewe, umeishi wapi zaidi ya buza kwa mpalange.?? chuki yako kwa wa ughaibuni itakumaliza endelea kula viporo huko kenge wewe. umekuja JF kumalizia wivu wako na husda, ukifeli maisha bongo usitegemee utatusua ughaibuni !!! maisha ni yale yale hakuna sehemu pesa ziko juu ya mti unachuma kama machungwa...kazi kazi tu nyanokoo!
 
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ndio umeishi Buza Kwa Mpalange!!...Nimezaliwa Kilimanjaro, primary Ngong hills Nairobi, Secondary Kapeeka Uganda, College Dubai business school!!.. Mpumbavu wewe!!..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unataka nikufanyie Mpango wa Maisha huko huko ulipo!!..Jinga mkubwa wewe!!..
 
Endelea kubeba Box kama sio umewekwa Ndani kenge wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ndio umeishi Buza Kwa Mpalange!!...Nimezaliwa Kilimanjaro, primary Ngong hills Nairobi, Secondary Kapeeka Uganda, College Dubai business school!!.. Mpumbavu wewe!!..[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio pumbavu haswaa linaweka na orodha ya shule ili kuonesha upumbavu wake...watu smart hawana haja ya kuonesha walisoma wapi jinga kabisa...wewe ni seti tupu uliposoma inaoneka ulikua wa mwisho kila siku na ndio maana ulifeli maisha ughaibuni....nyanokoo lolo.
 
Bishaneni mtakavyoweza ila ukweli utabaki mbeba mabox wa mbelez ni sawa na Managers level wa Bongo, tena mbeba box anaishi life super.

Nimeishi pande zote, sijahadisiwa naujuwa ukweli wa pande zote, hata nikipotea nikiliza uzi kwa wanangu US salio linasoma immidiately world Remit kwenye Airtel money, wakati Bongo kila mtu apambane na hali yake.

Kuna watu wanawaponda wabeba box wakati wao kodi za nyumba tu zinawasumbuwa wakati hakuna mbeba box anayepewa notice kuhama apartment kwa kushindwa kulipa kodi.

Mara nyingi wanaowaponda wabeba box ni viza refusal victim, hasira za kunyimwa viza mkawafanyie consulars na siyo wabeba box maana si wao waliowanyima viza.
 
Matola ,Matola,Matola kuna vitu hapa tofauti!!...Maisha yetu huwezi kufananisha na watu wa ulaya Sawa!!..Kuna wimbi la vijana wetu wanatoka ughaibuni tumewekeza fedha nyingi kwaajili Yao lakini matokeo ni sifuri Matola!;..Na hawa ni wengi sana,Shida yetu kubwa tunajificha kwenye Mali za familia lakini ukweli ni kwamba katika vijana 10 walioenda kusoma na kufanya Kazi Ughaibuni basi 2 ndio wanaweza kuwa na manufaa (wanaweza kujitegeme) wengine familia zinawabeba kuficha aibu kuu!!..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Twende taratibu ili tuelewane, umewahi kufika nchi gani ya first world?
 
Kuna majamaa humu yana hasira nafikiri visa zilibuma au walipigwa deportation, sasa hasira zao wanazileta kwa sie tuliotulia huku...maisha ni haya haya tu... waliofeli baada ya kukaa ughaibuni ni kiherehere chao walitaka kuishi ughaibuni kama vile wako bongoland ikala kwao.Baelezee.kwiiikwiikwii
 
Twende taratibu ili tuelewane, umewahi kufika nchi gani ya first world?
Matola kufika na kuishi vyema Ulaya hili sio tatizo!!.. Tatizo ni kurudi Nyumbani na huna unachoweza kufanya!!..Ni kama kuishi vizuri Chuoni na Mtaani Dar es salaam alafu umerudi kijijini ukaishi Kwa wazazi wako na ufanye shughuli za Nyumbani kwasababu huna unachoweza kufanya mwenyewe!!...(Maisha yamekupiga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…