Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa ninachojiuliza hizo laana na nuksi wanazipataje? Kwanini wasipewe watu wengine ila ni wao? Na utajuaje kwamba huyu ana laana au nuksi?
Kwenye imani au dini yangu moja ya sababu inayoleta umasikini na ufakiri ni ngono na je hao matajiri wengi hawafanyi ngono zembe mara kwa mara ndiyo inafanya wafanikiwe? Lakini mafanikio na utajiri ni nini? Mbona kuna wasanii wengi sana kama mmakonde anabadilisha wanawake kila mara na bado ana make dow au hapo inakuaje?