Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
ilikuwajeKweli kabisa
Usilale na malaya hawa wanaojiuza ni hatari sana
Na mke wa mtu
Ila Kama wewe ni Mwalimu ,umeajiriwa na hauna future na maisha we chinja tu hao malaya
Acha utotoBila Shaka inaweza kuwa na ukweli ndani yake Mimi nilisotaga for Six months kazin bila kupata promotion yyte ile but nikafanikiwa kumpata binti mmoja hvi hapo mloka asee yaan siku ya kwanza tu ananipa mzigo Nikajiona tu mimi mwenyew nimekuwa na amani ya moyo automatic na asubuh yake napigiwa simu nimekuwa selected kwenda sumbawanga,Dodoma na katavi asee nilianza kupata tip yaan acha tu tatzo mwanamke mwenye alikuwaga msambinungwa tu yaan unampa kila kitu ila bado analeta ungese Nikapiga chini
Na kwanini ufanye ngono kabla ya ndoa?Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa ninachojiuliza hizo laana na nuksi wanazipataje? Kwanini wasipewe watu wengine ila ni wao? Na utajuaje kwamba huyu ana laana au nuksi?
Kwenye imani au dini yangu moja ya sababu inayoleta umasikini na ufakiri ni ngono na je hao matajiri wengi hawafanyi ngono zembe mara kwa mara ndiyo inafanya wafanikiwe? Lakini mafanikio na utajiri ni nini? Mbona kuna wasanii wengi sana kama mmakonde anabadilisha wanawake kila mara na bado ana make dow au hapo inakuaje?