NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jan 11, 2016 #21 wabongo kwa majungu
Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 195 Jan 11, 2016 #22 mzurimie said: Kumpigia kura ya Tuzo Diamond hii ingia VOTE FOR YOUR FAVOURITES | MAYA AWARDS Sikuroooo hadi chini chini usijisahau kushangaa tuzo mbali mbali za nchi za wenzetu, hata nchini zitakuwa za insta tu labda mmmh Click to expand... Category za wenzetu we acha tu.
mzurimie said: Kumpigia kura ya Tuzo Diamond hii ingia VOTE FOR YOUR FAVOURITES | MAYA AWARDS Sikuroooo hadi chini chini usijisahau kushangaa tuzo mbali mbali za nchi za wenzetu, hata nchini zitakuwa za insta tu labda mmmh Click to expand... Category za wenzetu we acha tu.
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 Jan 11, 2016 #23 Carbondioxide said: Category za wenzetu we acha tu. Click to expand... Hadi raha ni mwendo wa kutafuta kuwasoma na kuona zaidi. Wengi nawafatilia na kazi zao, ma bloga pia hadi raha kusoma wanayo rusha.
Carbondioxide said: Category za wenzetu we acha tu. Click to expand... Hadi raha ni mwendo wa kutafuta kuwasoma na kuona zaidi. Wengi nawafatilia na kazi zao, ma bloga pia hadi raha kusoma wanayo rusha.
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,530 Reaction score 1,370 Jan 12, 2016 #24 Apo kwenye majungu usimsahau Wema aka mama ubaya ....
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Sep 12, 2016 #25 nipo LUSAKA kila kona ni nyimbo za Diamond aka Dr. Mwakka.