chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Sjui, me nipitapo mitaa mbali mbali ya jiji LA DSM.wapo humu au
Daa!! Sjakuelewa kabisa maneno yako makali muno..Siku zote mungu hupenda kumpa mtu anachokipenda
Na ndio maana hata maandiko yanasema tuwape watoto wetu majina mazuri.
We umesikia kuna tajiri anaitwa Majuto,Shida,Chuki,Chausiku,Mateso.
Sasa na wewe picha yako ya avatar umeyojichagulia,ndio mungu amekuelekeza hukohuko,utalialia mpaka siku ya kufa.
Jibu unalo mwenyewe
Ngoja nikubafirishie pichaUmeweka picha ya mtu anaye lia nicho unacho ambiwa.,so utalia daima maana ndicho ulicho chagua