wanajamvini nimekua nikijiuliza kwa nini dada zetu huvaa vichupi na sidiria tu kwenye video za muziki na baadhi ya movie? Alafu wana kuwa wakicheza staili za chumbani!! Hebu tulijadili hili tafadhali.
Ukimuuliza mzee wa commercial atakuambia biashara matangazo............... Wakware na ambao ndio wanunuzi wa hizo video, ndio kinachowavutia kununua hicho...........
Namiss kuGROAN!We kama haimhusu umeweka aweze kuchangia ya kazi gani?Mambo ya uvaaji kwenye movie uchwara zenu hayana nafasi kwenye jukwaa la JF Dr.GROW UP!